Kilichoamriwa na AU baada ya Jeshi kushindwa kuongoza nchi
Umoja wa Nchi za Afrika (AU) umetoa wiki mbili kwa jeshi kuachia madaraka baada ya kubainika kuwa jeshi halikufuata kanuni za katika kumtoa rais aliyekuwepo madarakani.
Jeshi la Burkina Faso lilishika nafasi
ya kuongoza nchi baada ya rais aliyekuwepo madarakani kujiuzuru siku nne
zilizopita baada ya kutokea machafuko makubwa.
Mkuu wa jeshi la nchio hiyo, Luteni
Kanali Isaac Zida amesema wanafanya mkakati wa kuhakikisha inapatikana
Serikali ya mpito kwa haraka kutokana na wananchi kuigomea Serikali ya
kijeshi iliyopo madarakani.
No comments:
Post a Comment