TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, November 10, 2014

Wengine wawili wametolewa Big Brother wiki hii, unataka kuwajua?

BBA Hotshots
Leo ni siku ya 35 tangu kuanza msimu wa Big Brother Africa Hot shots ambapo list ya washiriki waliotolewa ndani ya jumba hilo imezidi kuongezeka huku November 9 2014 ikiweka rekodi za kutolewa kwa washiriki wengine wawili kama wiki iliyopita.
Kama ulikua mbali na TV yako taarifa ikufikie tu kwamba waliotolewa ni Permithias kutoka Namibia na Frankie mwakilishi wa Rwanda wametolewa ndani ya jumba hilo na kufanya idadi ya washiriki waliotoka kuwa kumi na mbili, sita wa kike na sita wa kiume.
Wiki iliyopita washiriki watatu walitoka akiwemo Arthur wa Rwanda pia ambapo Frankie anakuwa mshiriki wa pili kutoka nchi ya Rwanda kutolewa BBA.
Frankie mwakilishi wa Rwanda ndani ya Big Brother akiagana na washiriki wenzake.
pER
Permithias wa Namibia akiagana na washiriki wenzake BBA.
Frenkie

No comments:

Post a Comment