TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, November 11, 2013

Wale wa Messi, hamtomuona uwanjani kwa muda huu

Messi
Kutokana na kusumbuliwa na msuli kwenye mguu wake wa kushoto, staa huyu wa soka wa Barcelona mwenye umri wa miaka 26 atakaa nje ya uwanja bila kushiriki kwenye mechi yoyote kwa muda wa kuanzia wiki sita mpaka nane na pia atamis mechi za timu yake ya taifa dhidi ya Ecuador and Bosnia.
Kwenye hizo wiki ni sawa na siku 42 na kuendelea….
Messi 2

No comments:

Post a Comment