| Mtoto Elizabethi akiwa katikati na wapambe wake |
| Mzaa chema Caren akiwa na watoto wake hapo |
| Watu wakiwa wamependeza kwenye ukumbi mambo yalikuwa mazuri kweli kweli |
| Zoezi muhimu la kufungua champeni likifanyika hapo kama mnavyowaona watu walivyopendeza wakiwa tayari kwa ufunguzi |
| Caren and Francisca |
| Caren, Francisca na Beatrice full shangwe |
| Hapana chezea Dayana ameng'aaaje |
| Huo ndio wakati muafaka hapo tumbo linapata kitu chake |
| Tabasamu la ukweli rafiki yangu maisha ni raha tupu |
| Chezea sherehe wewe hasa ikiwa ya shoga mwenyewe utaingia botique |
| Mambo ndivyo yalivyokuwa hapo , Pongezi nyingi kwa shost Carren kwani tulijiachiaje kwenye sherehe ya mtoto wentu? |
No comments:
Post a Comment