TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, November 6, 2013

Tiger Woods kwenye headlines kutoka Uturuki

U.S. golfer Woods is surrounded by media members as he gets ready to hit a shot during an event to promote the upcoming Turkish Airlines Open golf tournament, on the Bosphorus Bridge that links the city's European and Asian sides, in Istanbul
Tiger Woods amemiliki headlines kutokana na huu uamuzi wake alioufanya kwenye daraja linalounganisha mabara mawili ya Asia na Ulaya, uamuzi ambao ulisababisha foleni kubwa ya magari kwenye mji wa Istanbul na kuonekana tukio la promotional publicity stunt.
Rais wa shirikisho la mchezo wa golf Uturuki Ahmet Ali Aoaoolu ndio alifanya juu chini staa huyu wa golf atue nchini kwake na ndio alisimamia kuhakikisha zoezi la kusimamisha magari linafanikiwa tena kwenye time ambayo ndio daraja hilo liko busy sana.

No comments:

Post a Comment