MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI BENKI YA MAENDELEO PLC, JIJINI DAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti,
Mchungaji, George Fupe, ambaye ni mmoja kati ya waanzilishi wa benki
hiyo na wahamasishaji kwa watu kununua shea katika benki hiyo, ambapo
walifanikiwa kupata jumla ya Sh. Bilioni 4.5. Makamu alikabidhi vyeti
hivyo wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa benki hiyo iliyopo jijini Dar
es Salaa,leo Nov 12, 2013. Kulia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dkt.
Alex Malasusa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti,
Afisa Utawala wa Benki ya Maendeleo, Rose Mushi, ambaye ni mmoja kati ya
waanzilishi wa benki hiyo na wahamasishaji kwa watu kununua shea katika
benki hiyo, ambapo walifanikiwa kupata jumla ya Sh. Bilioni 4.5.
Makamu alikabidhi vyeti hivyo wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa benki
hiyo iliyopo jijini Dar es Salaa,leo Nov 12, 2013. Wa pili (kushoto) ni
Naibu Waziri wa Fedha, Janeth Mbene (kulia) ni Askofu Mkuu wa Kanisa la
KKKT, Dkt. Alex Malasusa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa
kuashiria kuweka Jiwe la Msingi katika benki ya Maendeleo PLC, wakati wa
hafla ya uzinduzi rasmi wa benki hiyo, iliyofanyika leo jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dkt. Alex Malasusa
(kushoto) ni Naibu Waziri wa Fedha,Janeth Mbene. (P.T)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe
kuashiria kufungua benki ya Maendeleo PLC, wakati wa hafla ya uzinduzi
rasmi wa benki hiyo, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dkt. Alex Malasusa (kushoto) ni Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadic na Naibu Waziri wa Fedha,Janeth
Mbene.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi mfano wa
kadi ya ATM, mteja wa kwanza kufungua Account katika benki hiyo,
Elianasa Marco Njiu,mkazi wa jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo Nov 12,
2013. Wa pili (kulia) ni Mteja wa kwanza kupata mkopo katika benki hiyo,
Margareth Chiwata.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa
ufunguzi rasmi wa bemki hiyo,leo.
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa benki hiyo.
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa benki hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na wachungaji wa Kanisa la
KKKT, baada ya ufunguzi rasmi wa benki hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na wachungaji wa Kanisa la
KKKT, baada ya ufunguzi rasmi wa benki hiyo.
No comments:
Post a Comment