MWILI WA WA DKT. SENGONDO MVUNGI KUWASILI IJUMAA , NOVEMBE 15, 2013

Rais Jakaya Kikwete (katikati) 
akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji
 Joseph Warioba (kushoto) nyumbani kwa marehemu Dkt. Sengondo Mvungi 
walipokwenda kuipa pole familia. Kulia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi 
James Mbatia na Mjumbe wa Tume Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed 
Salim.(HD)
No comments:
Post a Comment