RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA PAMOJA WA SADC NA ICGLR PRETORIA, AFRIKA KUSINI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili 
katika uwanja wa ndege wa Waterloof Air Force Base jijini Pretoria, 
Afrika ya Kusini Jumatatu Oktoba 4, 2013 tayari kuhudhuria mkutano wa 
pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za 
maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver 
Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria
 mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika 
(SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa
 wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, usiku wa kuamkia leo
 Oktoba 5, 2013(P.T)

Meza kuu katika mkutano wa pamoja wa 
nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu
 (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini 
Pretoria, Afrika ya Kusini

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais 
Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wakiwa katika mkutano 
wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za
 maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver 
Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini
No comments:
Post a Comment