TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, July 12, 2013

SHEMEJI YAKE KIM KARDASHIAN AMBAYE NI STAR WA NBA AMFANYIA KALI PAPARAZI
1335799123_lamar-odom-khloe-kardashian-lg
Kama umewahi kuangalia show ya Keeping up with Kardashian basi utakuwa umewahi kuomuona Lamar Odom  mume wa Khloe Kardashian ambaye ni mdogo wake Kim Kardashian. Hivi karibuni jamaa huyu ambaye pia ni mkali wa NBA, amepata kashfa za kuwa na mahusiano nje ya ndoa na kuandamwa na mitandao kadhaa ya udaku. Lamar akiwa mtaani na mizunguko yake akafatwa na paparazi akiwa na camera zake na kuanza kumuuliza maswali ya kuhusu yeye ku-cheat kwenye ndoa yake. Kilichotokea hapo ni balaa kubwa ambalo Lamar alimfanyia paparazi huyo. Cheki hizi picha pamoja na video jinsi mambo yalivyokuwa.
11lodom2
spl576113_007
BAADA YA HIYO FUJO AKAPATA NAFASI YA KUPIGA PICHA NA SHABIKI WAKE
lamar-odom-467
Lamar-Odom-vandalizing
spl575450-004

No comments:

Post a Comment