TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, July 24, 2013

AZAM ACADEMY WAMETOA NAFASI YA MAJARIBIO KWA WANAFUNZI

azam fd3cc
Azam FC (HM)

azam2 35f7a
MAJARIBIO kwa Azam Academy sasa yatafanyika Agosti 6 kuanzia saa moja asubuhi. Wazazi na walezi tunashauriwa kuwagharamia watoto wetu nauli, chakula, malazi na vifaa vya michezo

Majaribio ni kwa siku moja tuu na tunahitaji wachezaji walio chini ya umri wa miaka 15…. kama mchezaji ana miaka chini 17 na ana kipaji cha hali ya juu sana pia atapewa kipaumbele.
Baada ya mchakato na kama kijana atafuzu kujiunga na Azam Academy Mzazi/Mlezi atajaza fomu maalum kwa niaba ya kijanaWachezaji mzingatie kuja na vielelezo vya umri wenu, (Cheti cha kumaliza elimu ya Msingi na Cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja. Chanzo: www.perfect.com

No comments:

Post a Comment