HICHI NDICHO KILICHOMPATA KANYE B 
AADA YA KUMSHAMBULIA PAPARAZI
Baada ya rapa nguli wa Marekani Kanye West, kumshambulia paparazi amekabiliwa na shitaka la mashambulizi.
Kanye West alimsukuma chini paparazi akiwa uwanja wa Ndege wa 
Kimataifa wa Los Angeles baada ya kuchukizwa maswala ya mpiga picha 
huyo.
 
No comments:
Post a Comment