TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, July 18, 2013

Baada Ya Kushinda Tuzo ya BET Kama Msanii Bora Wa Kimataifa; Afrika, Ice Prince Sasa Kupiga colabo Na Mkali Huyu

Msanii bora wa Kimataifa kutoka Afrika kwa mujibu wa tuzo za BET 2013, Ice Price kutoka nchini Naijeria, anatarajia kufanya ngoma ya pamoja na French Montana kutoka Marekani, Kazi ambayo inatarajiwa kuwa moja ya hits za ukweli sana hasa ukizingatiwa uwezo wa wasanii hawa wawili.

Ice Prince ambaye hivi sasa yupo ziarani nchini Marekani bado hajaweka wazi taarifa zaidi kuhusu wimbo huo ambao hivi sasa wakali hao wanaofanyia kazi studio.
Ice Prince, French Montana

No comments:

Post a Comment