TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, July 18, 2013

Picha: Maajabu Mapya Kwenye Ulimwengu Wa Technolojia Ya Magari, Hii Ndiyo 2014 Mercedes-Benz S550 Yenye Uwezo Wa Kujiendesha Yenyewe

Hii ndio Mercedes-Benz S550 ya mwaka 2014, sifa yake kubwa ambayo inalifanya gari hili kuwa ni la kipekee ni uwezo wake wa kujiendesha lenyewe kutokana na sensors ambazo limewekewa.


  
Hili ni gari la kifahari zaidi kuwahi kutengenezwa mbele ya zile ambazo zipo kwenye records kwa sasa kama vile Audi A8, BMW 7-series, Jaguar XJ, Lexus LS na pia Porsche Panamera.

Gari hii mbali na vitu hivi vyote pia linaweza kujipaki lenyewe, kusoma alama za barabarani na pia kwa mujibu wa wataalam, kwa ujumla kuna vitu vipatavyo 16,000 ambavyo vilikuwa ni jukumu la macho, mikono na miguu ya Dereva ambavyo gari hii imebuniwa kuvifanya vyote kwa mfumo wa 'automatiki'.


2014 Mercedes-Benz S550
On Sale: September
Base Price: N/A
Drivetrain: 4.6-liter, 449-hp, 516-lb-ft twin-turbocharged V8; RWD, seven-speed automatic
Curb Weight: 4,277 lb
0-62 MPH: 4.8 sec
Fuel Economy (EPA Combined): 27.3 mpg

No comments:

Post a Comment