TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, July 25, 2013

BONDIA OMARI KIMWERI KUPAMBANA TENA AUSTRALIA

omarikimweri 0dfe5 
BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy' anaefanya shughuli zake nchini Australia anatarajia kupanda ulingoni mwishoni mwa wiki hii kwa ajili ya kuchezo mpambano wake mwingine baada ya kuwatwanga mabondia kadhaa nchini humo bondia huyo anaechezea uzito wa light flyweight.


No comments:

Post a Comment