TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, July 22, 2013

SPURS YAMNASA NACER CHADII
vick 28819
CHADII mwenye umri wa miaka 23 ambaye anaweza kucheza pembeni pande zote, ataungana na Wabelgiji wenzake, Mousa Dembele na Jan Vertonghen iwapo atakubali Mkataba wa miaka mitano kama inavyotarajiwa. (HM)

Klabu hiyo imethibitisha Chadli ataungana na kikosi kwa ajili ya maandalizi ya msimu kwenye kambi ya Hong Kong baada ya kufuzu vipimo vya afya na kukubaliana na vipengele vya Mkataba.

Usajili wa winga huyo ni zawadi nzuri kwa kocha wa Spurs, Andre Villas-Boas, ambaye atapenda kumtumia mchezaji huyo pamoja na nyota wake wa mabao, Gareth Bale uwanjani. 

Alifunga bao Uwanja wa White Hart Lane katika Ligi ya Mabingwa wakati Tottenham ilipopangwa kundi moja na Twente miaka mitatu iliyopita.


Swansea na Aston Villa pia zilionyesha nia ya kumsajili Chadli, ambaye uraia wa pili na aliichezea Morocco mechi ya kirafiki, kabla ya kuamua kufuata uraia wa nchi aliyozaliwa, Ubelgiji. Chanzo: Binzubeiry

No comments:

Post a Comment