JK AWASILI BUKOBA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU SITA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete 
akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. Fabia Massawe baada ya 
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Bukoba leo tayari kuanza ziara ya 
kikazi ya siku sita mkoani humo


Rais Kikwete akisalimiana na Mstahiki Meya wa Bukoba Mhe Anatory Amani
No comments:
Post a Comment