TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, July 19, 2013

MAN CITY WAKAMILISHA USAJILI WA NEGREDO
man city2 9af7c
 
Man City imekamilisha usajili wa Alvado Negredo (HM).
 
man city 5ac4b
KLABU ya Manchester City imekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 20.6 wa Alvaro Negredo kutoka Sevilla na mshambuliaji huyo Hispania amewasili katika hospitali ya Bridgewater leo jioni kwa ajili ya vipimo.
Negredo, mwenye umri wa miaka 27, amekubali Mkataba wa miaka minne kwa mshahara wa Pauni 75,000 kwa wiki na anatarajiwa kuunga na City katika ziara ya kujiandaa na msimu Hong Kong mapema wiki ijayo.
Klabu hizo bili zimekuwa zikivutana juu ya ada kwa muda na Sevilla ilisema bei ya mchezaji huyo ilipanda kutoka Pauni Milioni 21.5 hadi Milioni 24.5. Chanzo: binzubeiry

No comments:

Post a Comment