MAN UNITED YAUA 5-2
Mabingwa wa ligi kuu soka nchini
England, Manchester United wamecheza mechi yao ya tano katika ziara yao
ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi dhidi ya Kitchee ndani ya uwanja wa
Hong Kong na kuibuka na ushindi wa mabao 5-2. (HM)
Mechi ya jana ilitakiwa kuchezwa
mwishoni mwa wiki iliyopita, lakini Kocha wa United, David Moyes
alilazimika kuahirisha mechi kwa madai kuwa uwanja wa Hong Kong ulikuwa
mbovu kufuatia mvua kunyesha na uwanja kujaa matope, huku ukiwa
umetumika mfululizo katika michuano ya kombe la Barclays la Asia.
Hali ya uwanja siku ya jumamosi wakati wa fainali ya Sunderland na Manchester City ilikuwa mbaya sana, lakini viongozi walijitahidi kufanya jitihada za kurekebisha kabla ya mchezo wa jana.
Kikosi cha Kitchee: Comi, Rodriguez, Rehman, Kei, Alkande, Belencoso, Wai, Annan, Yang, To.
Wachezaji wa akiba: Jianqiao, Wen, To, Fung, Quankun, Hau, Fai, Paramo, Lam, Deshuai, Lung
Waliofunga Magoli yao: Lam (53), Alkande (69)
Kikosi cha Manchester United: Amos, Evra (Buttner HT), Anderson, Smalling, Carrick (Jones 72), Young (Januzaj HT), Welbeck (Lingard HT), Fabio (Rafael 72), Cleverley, Zaha, Keane.
Wachezaji wa Akiba: Lindegaard, Rafael, Jones, Ferdinand, Giggs, Van Persie, Buttner, Lingard, Januzaj.
Waliofunga mabao: Welbeck (16), Smalling (22), Fabio (26), Januzaj (47), Lingard (80). Chanzo: Baraka Mpenja

No comments:
Post a Comment