TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, July 12, 2013

PICHA ALIYOPOST PREZZO NA MANENO ALIYOANDIKA
.
.

.
Nafahamu Rapper CMB Prezzo alishawahi kuwa kwenye ndoa na kupata mtoto mmoja ila hiyo ndoa ilivunjika baadae kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ambayo naikumbuka AMB aliiambia millardayo.com kwamba mke wake hakuwa na asilimia 100 ya support kwa kazi ya muziki anaoufanya Prezzo.
Kwa kipindi chote hicho Prezzo amekua kwenye headlines za kuwa na Warembo kadhaa kutoka Kenya na nje ya Kenya ambapo mwishoni mwishoni alikuja kuongea na Millard Ayo na kusema alikua na mipango ya kumuoa Mnigeria Goldie waliekutana Big Brother Afrika lakini mipango haikwenda sawa kwa sababu Goldie alifariki dunia.
Huu ukiwa ni mwezi wa tano toka Goldie afariki dunia, Prezzo ametoa picha ya chumba cha kulala ambayo inaashiria ni nyumbani kwake ambapo picha hiyo imeambatana na msg kwamba…. ‘kitu pekee kinachokosekana ni mke’

No comments:

Post a Comment