TASWIRA ZA MSIBA WA MAMA YAKE PROF JAY MBEZI YA KIMARA
Watu mbalimbali wamezidi kumiminika nyumbani kwa msanii wa muziki wa
kizazi kipya Bongo, Joseph Haule ‘Prof. Jay’ eneo la Mbezi Mwisho jijini
Dar kutoa pole kufuatia kifo cha mama yake mzazi Rosemary Majanjala.
Marehemu Rosemary aligongwa na gari aina ya Stallet juzi saa mbili usiku
ambapo alifariki baada ya kufikishwa katika hospitali ya Tumbi iliyopo
Kibaha, mkoani Pwani.
No comments:
Post a Comment