TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, July 8, 2013

ARSENAL YAMTAKA SUAREZ
suarez be367
Mshambualiaji wa Liverpool, Luis Suarez (HM)

suarez 97027
KLABU ya Arsenal imehamishia ndoana zake kwa mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez.
Kocha Arsene Wenger amefanya hivyo akiwa tayari ana mpango wa kuwasajili washambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney na wa Real Madrid, Gonzalo Higuain.
Harakati za kumnasa Suarez ahamishie makali yake Arsenal zilianza wiki iliyopita.
Pamoja na hayo, Liverpool haijapokea ombi lolote rasmi na inabaki na msimmo wake kwamba Suarez anatakiwa kuwasilisha maombi ya kuondoka kama anataka kuhama. Chanzo: Sportmail

No comments:

Post a Comment