TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, July 8, 2013

MBUNGE WA DODOMA MJINI AWATEMBELEA WAHANGA WAMLIPUKO WA PETROL KATIKA HOSPITAL YA MKOA WA DODOMA


Mbunge wa Dodoma mjini  Mh Dr David Mallole, alipoenda kuwatembelea wahanga wa mlipuko wa Petrol katika hospital ya mkoa wa Dodoma,General Hospital na kutoa pole kwa wagonjwa waliopatwa na janga hilo kwa kuwapatia pole pamoja na msaada wa pesa ya dawa kwa kila mmoja
Mtoto huyu ni mwanafunzi wa kidato cha tatu Shabani p. Shaban .Alikutana na janga hili baada ya kwenda kwa fundi kuchukua nguo zake za shule ambapo ni eneo jirani na mlipuko huo ulipotokea. Mh Mbunge David Mallole ameahidi kumlipia ada yake ya shule:

No comments:

Post a Comment