TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Sunday, May 12, 2013

PSG BIGWA UFARANSA BECKHAM AWEKA REKODI
beka fdee9

David Beckham na Zlatan Ibrahimovic wakishangilia kuiwezesha PSG kutwaa taji la kwanza baada ya miaka 19.

beka1 ad57f

Beckham akipongezana na Carlo Ancelotti, kocha wa PSG


beka2 4ec48
Ibrahimovic


beka3 c3ce4

Beckham akikumbatiana na mmiliki wa Qatari TV, chaneli ya Al Jazeera Sport ambaye pia ni mmiliki wa PSG, Nasser Al-Khelaif
 
KIUNGO wa David Beckham ameweka rekodi ya kutwaa mataji ya Ligi Kuu na klabu za nchi nne tofauti, baada ya PSG kuifunga Lyon 1-0 na kutwaa ubingwa wa Ligue 1, Ufaransa.

Beckham, ambaye sasa anakuwa mchezaji wa kwanza wa England kutwaa mataji katika nchi nne tofauti, aliingia akitokea benchi, wakati Jeremy Menez alipokifungia bao pekee la ushindi kikosi cha Carlo Ancelotti.

Ubingwa wa PSG hautathibitishwa hadi Kamati ya Nidhamu ya Ligi itakapokutana kuamua kuipokonya pointi au la kufuatia tuhuma za Mkurugenzi wake, Leonardo kumrubuni refa. Chanzo: sportmail

No comments:

Post a Comment