MAREKANI INAWASIWASI KUHUSU NIGERIA

Katika taarifa ya Waziri wa Mashauri
ya Nchi za Nje wa Marekani, John Kerry, amesema ana wasiwasi kuhusu
madai ya kuaminika kuwa wanajeshi wa Nigeria wamekiuka vibaya haki za
binadamu.
Bwana Kerry alisema hayo yatazidisha ghasia na kuchochea msimamo mkali.
Nigeria inafanya mashambulio dhidi ya
kundi la wapiganaji wa Kiislamu, Boko Haram, katika majimbo matatu ya
kaskazini-mashariki. Chanzo: www.voaswahili.com
No comments:
Post a Comment