TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, May 23, 2013

MAN CITY YAPATA MKATABA NIKE 
city c3e68

James Milner akionesha alama Nike jijini New York
 
et 66fa7
KLABU ya Manchester City imezindua rasmi udhamini wake mpya wa jezi wa Pauni Milioni 72 na kampuni ya vifaa vya michezo Marekani, Nike sambamba na kuzindua jezi zake za msimu ujao nyumbani mjini New York.
City ilitangaza mwaka uliopita wataachana na Umbro, ambayo awali ilikuwa inamilikiwa na Nike, baada ya kukubali mkataba wa Pauni Milioni 12 kwa mwaka kwa miaka zaidi yasita.

No comments:

Post a Comment