TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Sunday, May 26, 2013

STELLA MWANGI KUTUMBUIZA KWENYE UZINDUZI WA BIG BROTHER
IMG 0004 f0174
Mmoja wa wasanii watakaotumbuiza jioni hii kwenye uzinduzi wa show ya Big Brother-The Chase Stella Mwangi a.k.a STL kutoka Kenya akifanya mahojiano na Tsholofelo Mothibi wa Vuzu Tv ya nchini Afrika Kusini kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaotoa burudani kwenye uzinduzi huo leo. Kaa tayari kushuhudia uzinduzi huo Live kupitia DStv

No comments:

Post a Comment