TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, May 16, 2013

KIKWETE ATEMBELEA VIWANDA VYA BIDCO OIL NA AZAM BUGURUNI
jk2 bdc39
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mafuta yaliyowekwa virutubisho vya lishe bora wakati alipokitembelea kiwanda cha BIDCO Oil and Soap kilichopo eneo la viwanda la Mikocheni jijini Dar es Salaam

jk3 50a7b
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akongea na wafanyakazi wa kiwanda cha BIDCO Oil and Soap muda mfupi baada ya kuzindua mpango wa kuweka virutubisho bora vya lishe katika bidhaa za unga na mafuta uliofanyika jijini Dar es Salaam

jk4 d5617
Mtaalamu wa kusaga unga Bwana Patrick Muriuki(kulia) akimwongoza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kuweka virutubisho vya lishe bora katika unga kwa kutumia teknolojia ya kisasa wakati Rais alipotembelea Kiwanda cha   Azam kinachomilikiwa na S.S. Bhakressa Buguruni jijini Dar esSalaam kukagua uwekaji wa virutubisho vya bora katika bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo.
jk5 ef62f
Rais Dkt.Jakaya kikwete akiangalia ukaguzi wa uwepo wa virutubisho vya lishe bora katika bidhaa zinazozalishwa katika kiwanda cha kuzalisha unga AZAM ukifanyika katika maabara ya kiwanda  hicho Buruguruni jijini Dar es Salaam
jk 7163c
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mafuta yaliyowekwa virutubisho vya lishe bora wakati alipokitembelea kiwanda cha BIDC Oil and Soap kilichopo eneo la viwanda la Mikocheni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment