TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Sunday, May 26, 2013

AGUERO ASAINI MKATABA MAN CITY
city 89c0b
Sergio Aguero
MSHAMBULIAJI Sergio Aguero amesaini mkataba wa kuendelea kuichezea Manchester City hadi mwaka 2017.
Mshambuliaji huyo mwenye kipaji, mmoja wa walio bora duniani, amekuwa akiwaniwa na Real Madrid kwa ajili ya msimu ujao baada ya kufanya kazi nzuri Etihad, lakini ameamua kujitia pingu kabla hata ya kuajiriwa kwa kocha mpya. Chanzo: binzubeiry

No comments:

Post a Comment