MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA KUPATIWA MAFUNZO
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini
Namibia, Kamishna Jenerali Evaristus Shikongo akiijaribu moja ya silaha
inayotumika kwa ajili ya kutuliza ghasia wakati wowote inapotokea ndani
na nje ya gereza
Askari wa Kikosi Maalum cha Kutuliza
Ghasia Magerezani, wakimuonesha mbinu za kupambana na adui pasipo
kutumia silaha Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini Namibia,
Mkuu wa Chuo cha Maafisa Magereza
Ukonga, ACP Mbaraka Semwanza akitoa taarifa fupi ya chuo hicho kwa Mkuu
wa Jeshi la Magereza nchini Namibia, Kamishna Jenerali Evaristus
Shikongo (katikati). Kushoto aliyekaa ni Kamishna wa Sheria na Utawala
wa Jeshi la Magereza, Dk Juma Malewa, kulia ni Kamishna wa Fedha na
Utawala, Gaston Sanga, anayefuata ni Kamishna wa Rasilimali Watu, Fedha
na Utawala wa Jeshi la Magereza nchini Namibia, Clementine Feris. Picha
na Felix Mwagara.
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini,
Kamishna Jenerali John Minja (kushoto) na Mkuu wa Jeshi la Magereza
nchini Namibia, Kamishna Jenerali Evaristus Shikongo wakionyesha taarifa
ya makubaliano waliyosaini.
No comments:
Post a Comment