TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, May 16, 2013

MKUTANO SAPCCO
pls2 c98d3

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema akizungumza katika mkutano wa mwaka wa kumi na nane wa shirikisho la Wakuu wa polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unajadili mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu unaovuka mipaka.
pols3 4580b
Katibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil akizungumza katika hafla fupi ya kufungua mkutano wa mwaka wa kumi na nane wa shirikisho la Wakuu wa polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unajadili mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu unaovuka mipaka.(Picha na Frank Geofary-Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment