TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, May 20, 2013

MH: PETER MSIGWA NA WANANCHI 70 WAFIKISHWA MAHAKAMANI KUFUATIA VURUGU ZA IRINGA ZILIZOTOKEA
peter-msigwa-jan19-2013 3decd
Habari zilizo tufikia hivi punde, Kufuatia vurugu za jana mkoani Iringa kati ya Polisi na Wafanyabiashara ndogondogo, Polisi wamewakamata na kuwafikisha mahakamani watu 71 akiwemo Mh: Mbunge wa Iringa mjini PETER MSIGWA. Taarifa zaidi tutaendelea kukuletea

No comments:

Post a Comment