PINDA APOKEA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO

Baadhi Wadau wa Muziki na Filamu wakiwa na mabango yao yaliyobeba jumbe mbalimbali mapema leo kwenye Matembezi ya mshikamano ya kuitaka Serikali iendelee kuzilinda fursa zilizopo na pia kuendelea kuutanua wigo wa upatikanaji wa fursa hizo kwa wasanii na vijana wenyewe,ikiwa sambamba na kupinga uwizi/uharamia wa kazi za sanaa hapa nchini,yaliyoanzia kwenye uwanja wa Jamhuri na kufikia
tamati viwanja vya Nyerere


Waziri Mkuu Pinda akizungumza mbele ya
baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya/Filamu pamoja na
watangazaji wa Clouds FM na wadau wengine wa sanaa waliojumuika kwa
pamoja kwenye tukio hilo adhimu kabisa mara baada kufanyika Matembezi ya
mshikamano
No comments:
Post a Comment