BAYERN WAIKATAA SIAN YA ROONEY

Wayne Rooney

DILI la Wayne Rooney kuuzwa kwa Pauni
Milioni 25 Chelsea limepata upinzani kufuatia taarifa kwamba, Bayern
Munich kutaka kumsajili mshambuliaji huyo wa Manchester United.
Wana fainali hao wa Ligi ya Mabingwa,
Bayern wanataka kupambana na kocha anayetaka kuhama Real Madrid, Jose
Mourinho na kwenda kuweka kambi tena Stamford Bridge na kuhakikisha
Rooney anakuwa mchezaji wake wa kwanza kumsajili. Chanzo:Sportsmail
No comments:
Post a Comment