Naambiwa na hii ni movie nyingine mpya ya bongo ya kutazama mwezi huu
Kuanzia pale ndipo nilianza kumfatilia sana Wolper na hata leo nimekutana na hii nikasema nitawajulisha watu wangu on millardayo.com manake kwenye kumbukumbu zangu sijawahi kumuona J akiwa kwenye movie moja na hivi vichwa vya hii mpya ya ‘TomBoy’
Naambiwa imeshaanza kupatikana kwenye duka la movie za kibongo karibu yako so ukishachukua nakala yako na kuitazama naomba usisite kunijulisha mtu wangu kupitia twitter instagram na facebook kwa jina la @millardayo
No comments:
Post a Comment