MEI MOSI YAFANA MKOANI MWANZA
Wafanyakazi
 wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa
 wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya 
Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja 
wa CCM Kirumba.
Wafanyakazi wa Idara ya Maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba katika kuhitimisha siku ya wafanyakazi.
 Mahakama ya Tanzania wakiingia uwanja wa CCM Kirumba huku wakitanguliza ujumbe mzito



No comments:
Post a Comment