TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, July 12, 2013

WANYAMA ASAINI RASMI SOUTHMPTION
kenya e1d94
KIUNGO wa kimataifa wa Kenya amesajiliwa rasmi na klabu ya Southmpton ya England akitokea klabu ya Celtic ya Scotland. (HM)
Wanyama ambaye alikuwa akiwindwa na vilabu kadhaa ikiwemo Arsenal na Liverpool, amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea Saint iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita.
Ada ya uhamisho wa Wanyama ambaye anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Kenya kucheza kwenye EPL, haijatajwa.
Baada ya kuthibitishwa kwa dili hilo la uhamisho Wanyama alitumia ukurasa wake rasmi wa Twitter na kuandika.  Chanzo: Shaffihdauda

No comments:

Post a Comment