NMB YAWAPA MAFUNZO WAJASIRIAMALI MWANZA
Mkuu
wa kitengo cha mikopo midogo na ya kati, Filbert Mponzi akitoa maada
kwa wajasilia mali iliyohusu umuhimu wa kuandika mchanganuo wa
biashara kwa mjasilia mali.
Sehemu ya wajasilia mali wanaowezeshwa na benki ya NMB wakifuatilia maada zilizoendeshwa wakati wa semina hiyo.
Bw. Harun Manyama Ungura mwenyekiti wa Mwanza Business Club akifafanua jambo katika mafundisho h.
Mkuu
wa kitengo cha Akaunti Binafsi NMB, Abdulmajid Nsekela akielezea huduma
ambazo mteja wa NMB anafaidika nazo mara awapo na akaunti na NMB
No comments:
Post a Comment