UZINDUZI WA MPANGO WA USHIRIKIANO
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania Kelvin Twissa, wa pili kulia, akifafanua jambo kwa
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbawara, Dar
es Salaam jana, wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa ushirikiano
baina ya Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, Benki ya CRDB PCL na
Samsung. Mpango huo unalenga kuwawezesha wateja wa CRDB nchini kujipatia
simu za Samsung Galax S3,Samsung Galax note2 na Samsung Galax note 10
katika duka lolote la Vodacom na kuzilipia kwa awamu kwa kati ya miezi
12 na 24. Kulia ni Meneja wa huduma za kibenki wa CRDB, Farida Mbwana.
Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na
Teknolojia Profesa Makame Mbawara akimsikiliza Mkuu wa Masoko na
Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa, wakati wa hafla ya uzinduzi wa
mpango wa ushirikiano baina ya Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom,
Benki ya CRDB PCL na Samsung. Mpango huo unalenga kuwawezesha wateja wa
CRDB nchini kujipatia simu za Samsung Galax S3,Samsung Galax note2 na
Samsung Galax note 10 katika duka lolote la Vodacom na kuzilipia kwa
awamu kwa kati ya miezi 12 na 24,kushoto ni Mkuu wa Vifaa vya
Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Bw.Mgopelinyi Kiwanga.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Tenkolojia Profesa Makame Mbawara akihutubia wakati wa kampuni ya
Vodacom,Tanzania, kampuni ya Samsung na Benki ya CRDB PLC walipokuwa
wakizindua mpango wa ushirikiano wa kuwawezesha wateja wao kujipatia
simu aina ya Samsung Galax S3,Samsung Galax note 2 na Samsung Galax note
10 kwa malipo ya awamu kati ya miaezi 12 hadi miezi 24 ambapo wateja wa
benki ya CRDB PLC watajipatia huduma hiyo katika duka lolote la Vodacom
nchini..Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam
Naibu Mkurugenzi Mtendaji –Uendeshaji
na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB PLC,Bw. Saugata Bandyadhiyay
akiongea na waandishi wa habari na baadhi ya wageni waalikwa waliofika
katika halfa ya uzinduzi wa mpango wa ushirikiano baina ya Kampuni ya
simu za mkononi ya Vodacom, Benki ya CRDB PCL na Samsung. Mpango huo
unalenga kuwawezesha wateja wa CRDB nchini kujipatia simu za Samsung
Galax S3,Samsung Galax note2 na Samsung Galax note 10 katika duka lolote
la Vodacom na kuzilipia kwa awamu kwa kati ya miezi 12 na 24.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla hiyo..
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa (wa pili kushoto), akigonganisha
glasi na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin
Twissa (wa tatu), Meneja Mwandamizi wa Kampuni ya Samsung, Afrika
Mashariki, Simon Kariithi (kulia) na Naibu Mkurugenzi Mwendeshaji,
Undeshaji na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay,
mara baada ya kuuzindua mpango wa ushirikiano wao, Dar es Salaam juzi,
ambapo utamwezesha mteja kununua simu za Sumsung kwa malipo ya awamu
No comments:
Post a Comment