TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, April 17, 2013

POLISI DUBAI WAMEVUNJA REKODI KWA KUTOA PICHA YA GARI LA KIFAHARI WATAKALOANZA KULITUMIA
Kwa kipindi kirefu imekua ni kawaida kuona magari ya kifahari kama Ferrari yakitumika kwenye video za mastaa wa muziki duniani lakini sio kawaida kukutana nayo mtaani kwenye nchi zetu za Afrika, na imekua kawaida pia kuona magari ya Serikali za nchi mbalimbali hasa sekta ya polisi kwenye nchi maskini hata tajiri, yakiwa ni magari ya kawaida sana na hasa yanayoweza kuhimili mikikimikiki ya uhalifu lakini sio magari ya thamani.
Sasa Polisi wa Dubai wamevunja rekodi kwa kuanza kutumia aina moja wapo ya magari ya kifahari duniani, ni Ferrari kama inavyoonekana kwenye picha ambayo itakua inafanya patrol kama kawaida.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment