TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, April 9, 2013

THATCHER AFARIKI DUNIA
1 3d2bb
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Margaret Thatcher (87), amefariki dunia jana jijini London.
Thatcher, ambaye ni mwanamke pekee kushika nafasi hiyo Uingereza, alifariki dunia katika Hoteli ya Ritz alipokuwa akiugulia. Habari zilizopatikana jana zimeeleza kuwa Thatcher alifariki dunia kutokana na kuugua ghafla ugonjwa wa kiharusi jana asubuhi nyumbani kwake.CHANZO MWANANCHI

No comments:

Post a Comment