TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, April 22, 2013

SUAREZ AOMBA RADHI KWA KUMG'ATA IVANOVIC
15 ac15eMshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez ameomba radhi kutokana na kitendo chake cha kumng'ata mkononi beki wa Chelsea Branislav Ivanovic wakati timu hizo mbili zilipocheza jumapili jioni kwenye mchezo wa ligi kuu soka nchini Uingereza.

16 a79f9
Ivanovic akimuonyesha mwamuzi alivyong'atwa:CHANZO BBC

No comments:

Post a Comment