TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, April 22, 2013

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA WIKI YA CHANJO KITAIFA

24
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa maabara wa kituo cha afya cha Mlandizi ,wilayani Kibaha katika mkoa wa Pwani, Bwana Sostenes  Nyang’olo, jinsi ya kuchukua vipimo vya damu na makohozi kutoka kwa wagonjwa wakati wa uzinduzi wa wiki ya chanjo kitaifa iliyofanyika huko Mlandizi tarehe 22.4.2013.

No comments:

Post a Comment