Thursday, July 4, 2013
WANASHERIA WA ETHOPIA WAAPA KUMSHTAKI BETTY KWA KUFANYA NGONO NDANI YA JUMBA LA BIGBROTHER
Wakati baadhi ya watanzania wakifurahia madudu ya washiriki wetu ndani ya jumba la Big Brother, wenzetu wa Ethiopia wameanza kuchukua hatua stahiki dhidi ya mshiriki wao aliyekubali kufanya mapenzi hadharani....
Kundi la wanashiria toka Adds Ababa limetangaza kuwa kwa sasa lipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mashitaka dhidi ya mshiriki wa mwaka huu ambaye ni Betty alionekana mara kadhaa akingonoka na Bolt hadharani kama mbwa...!!!!
Big Brother siyo shindano la kungonoka na kuoneshana ujuzi wa tendo la ndoa.....Hili ni funzo kwa washiriki wetu Feza na Nando
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment