SHEREHE YA WAFANYAKAZI WA IPP ILIYOFANYIKA KUNDUCHU BEACH HOTEL
| Watu wakiserebuka |
| Ni mapozi tu hapo kwa kwenda mbele |
| Kila mtu anaonyesha ujuzi wake kulisaka rumba |
| Michezo mbalimbali ilikuwepo mchangani |
| Jamaa hodari kwa kufunga magoli |
| Wamependezaje? |
| Angel Navuli akielekea kupokea tuzo yake ya kuwa mfanyakazi bore wa mwaka kutoka kampuni ya The Guardian LTD, Usiondkoke hapo picha zaidi nitakumwagia |
No comments:
Post a Comment