WIKI YA UMOJA WA ULAYA
Balozi wa
Umoja wa Ulaya (EU) nchini Mh. Filiberto Sebregondi (katikati)
akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam
juu ya Wiki ya Umoja wa Ulaya itakayoadhimishwa nchini na kuhusisha
shughuli mbalimbali za kijamii. Wengine katika picha ni Balozi wa
Hispani nchini Mh. Luis Cuesta Civis(wa kwanza kushoto) , Balozi wa
Ireland nchini Mh. Fionnula Gilsenan na ,Balozi wa Nethrland nchini Mh.
Dkt. Ad Koekkoek Emmanuel .
No comments:
Post a Comment