SUZA KUWA MWENYEJI WA OIC
Ujumbe wa
Nchi ya Omani ukiambatana na Maafisa wa Umoja wa Nchi za Kiislamu
Duniani OIC ukiwasili Zanzibar kwa lengo la kufanya maandalizi ya
Mkutano Mkuu wa OIC utakaofanyika Mwezi Septemba Visiwani Zanzibar.
Mwenyekiti
wa Mamlaka ya Kumbumbuku na Nyaraka ya Nchi ya Oman Dkt. Hamed Mohammed
ambaye ni Mkuu wa Ujumbe huo akifafanua jambo katika Mkutano wa
maandalizi ya Mkutano Mkuu wa OIC utakaofanyika Mwezi Septemba Visiwani
Zanzibar, katikati ni Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu SUZA na kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa OIC katika Kitengo cha Utafiti na Utamaduni Dkt.
Halit Eren
No comments:
Post a Comment