TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, May 9, 2013

KAJALA AAHIDI KUPIGA MZIGO MKALI

BAADA ya kurejea uraiani, mwigizaji, Kajala Masanja amesema anawashukuru wote waliomuombea hadi akachomoka kwenye mikono ya sheria na kuahidi mashabiki kuwa zawadi yao itakuwa ni kuzalisha kazi bora.
Kajala Masanja.
“Najua wengi wanasubiri waone nitafanya nini katika kazi zangu za uigizaji, umuhimu wa filamu kwangu ni mkubwa sana na ninawahakikishia kuwa nitafanya mambo makubwa, wapenzi wa filamu wananikubali ni wakati wa kuwapa zawadi kwa filamu bora nitakayoigiza hivi karibuni,” alisema Kajala.
Kajala ameweka plain kuwa kwa sasa anamilikiwa na meneja wake aitwaye John Lister anayesimamia kila kitu kinachohusu sanaa yake na shughuli nyingine kwa jumla.
CHANZO GLOBAL PUBLISHERS

No comments:

Post a Comment