JK AZINDUA JENGO LA SAYANSI

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa
heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee
Benjamin William Mkapa
wakiangalia aina mbalimbali ya mihogo wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo
wakiangalia aina mbalimbali ya mihogo wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo

wakionja
mikate iliyotengenezwa kwa unga wa muhogo wakati wa uzinduzi wa jengo la
sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki
(IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam

wakisikiliza
maelezo ya kitaalamu juu ya utafiti wa maradhi ya migomba toka kwa
Profesa Rony Swennen wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo
cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini
Dar es salaam

Rais
mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chifu Olesegun Obasanjo
na Rais Mstaafu wa akihutubia wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi
katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA)
No comments:
Post a Comment