TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, January 9, 2013

ACHENI KUJICHUBUA WASANII WA KIUME
MSANII nguli wa filamu za Kibongo, Charles Magali ‘mzee Magali’ amesema kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya  wasanii wa kiume wa filamu wanaojichubua na kuweka dawa nywele zao.

Akizungumza na na mwandishi wa habari hii, mzee Magali alisema kwa muda mrefu amekuwa akilikemea jambo hilo bila ya mafanikio.


“Wasanii ni kioo cha jamii, hebu waseme wanapata faida gani wanapofanya hivyo zaidi ya kuhisiwa tofauti na jamii? Mbona wanaweza kuwa wasanii wazuri bila ya  kujichubua na kuweka dawa nywele zao?” alihoji.


































Wakati watu wakiaangaika na mikorogo kubadili rengi zao nyeusi kuwa nyeupe, wazungu nao wanatafuta mbinu ya kuwa weusi kama unavyomuona jamaa anavyopata shida kusoma vitabu ili aweze kubadili rangi yake. Ni rahisi sana mtu mweusi kubadili rangi yake ya asili kuwa mweupe na ni shida sana mtu mweupe kubadili rangi yake nyeupe na kuwa mweusi.
Wewe Mwafrika halisi uliyeumbwa kwa rangi nzuri tena hadimu unaangaika kubadili tofautita nani mwenye thamani hapo, kubadili weusi kuwa weupe ama kubadili weupe kuwa weusi jibu mnalo acheni hizo.

No comments:

Post a Comment