TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, January 16, 2013

SHIRIKA LA NDEGE PRECISION AIR LAANZA SAFARI ZA MBEYA
Shirika la Ndege la Precision Air leo limekuwa Shirika la kwanza la Ndege Nchini kuanza safari zake za Ndege Mkoani Mbeya katika Uwanja wa Ndege wa Songwe. Pichani ni ndege hiyo ikiongozwa katika uwanja wa Songwe na baadae kupigiwa Saluti ikiwa ni Heshima ya Ndege kutua katika Uwanja Mpya kwa mara ya kwanza.

No comments:

Post a Comment